Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 41

Hakikisho la msaada wa Mungu na ombi la uponyaji

1 Mit 14:21;Mk 10:21Heri amkumbukaye mnyonge;41:1 Au maskini.

BWANA atamwokoa siku ya taabu.

2 BWANA atamlinda na kumhifadhi hai,

Naye atafanikiwa katika nchi;

Wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake.

3 BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani.

Katika ugonjwa wake unamponya maradhi yake yote.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também