Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 5

11 1 Kor 2:9Nao wote wanaokukimbilia watafurahi;

Watapiga kelele za furaha daima.

Kwa kuwa Wewe unawahifadhi,

Walipendao jina lako watakufurahia.

12 Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki;

BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.

Veja também