Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 55

12 Kwa maana si adui aliyenitukana;

Kama ndivyo, ningevumilia.

Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye;

Kama ndivyo, ningejificha asinione.

13 2 Sam 15:12Bali ni wewe, mtu mwenzangu,

Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.

14 Tumehusiana vizuri; na kutembea

Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.

Veja também