5 Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,
Ni Mungu aliye katika kao lake takatifu.
6 1 Sam 2:5Mungu huwapa wapweke makao yao;
Huwapa wafungwa uhuru na kuwafanikisha;
Bali wakaidi huishi katika nchi kavu.
5 Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,
Ni Mungu aliye katika kao lake takatifu.
6 1 Sam 2:5Mungu huwapa wapweke makao yao;
Huwapa wafungwa uhuru na kuwafanikisha;
Bali wakaidi huishi katika nchi kavu.