26 Isa 53:4Maana wanamwudhi mtu uliyempiga Wewe,
Wanazidisha maumivu ya hao uliowatia jeraha.
27 Rum 9:31Uwaongezee uovu juu ya uovu,
Wala wasipate msamaha kutoka kwako.
28 Kut 32:32;Eze 13:9;Lk 10:20;Flp 4:3;Ebr 12:23;Ufu 3:5;13:8;17:8Na wafutwe katika kitabu cha uhai,
Wala pamoja na wenye haki wasiandikwe.