17 Ee Mungu, umenifundisha tokea ujana wangu;
Nimekuwa nikitangaza miujiza yako hata leo.
18 Na hata nikiwa ni mzee mwenye mvi,
Ee Mungu, usiniache.
Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako,
Na kila atakayekuja uweza wako.