3 Maana niliwaonea wivu wenye kujivuna,
Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
17 Zab 77:13Hata nilipoingia katika patakatifu pa Mungu,
Nikautafakari mwisho wao.
26 Zab 84:2Mwili wangu na moyo wangu hupunguka,
Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu
Na sehemu yangu milele.