Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 78:70-72

SRUV Swahili Revised Union Version

70 1 Sam 16:11-12;2 Sam 7:8;1 Nya 17:7Akamchagua Daudi, mtumishi wake,

Akamwondoa katika mazizi ya kondoo.

71 2 Sam 5:2;1 Nya 11:2;Mik 5:2-4;Zek 11:4Nyuma ya kondoo wanyonyeshao alimwondoa,

Awachunge Yakobo watu wake, na Israeli urithi wake.

72 1 Fal 9:4Akawahudumia kwa ukamilifu wa moyo wake,

Na kuwaongoza kwa busara ya mikono yake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    70 Akamchagua Daudi mtumishi wake

    na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.

    71 Kutoka kuchunga kondoo alimleta

    kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo,

    wa Israeli urithi wake.

    72 Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo,

    kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    70 Akamchagua Daudi mtumishi wake

    na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.

    71 Kutoka kuchunga kondoo alimleta

    kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo,

    wa Israeli urithi wake.

    72 Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo,

    kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.