3 Zab 44:16;19:1;Ayu 22:12;Rum 1:20Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako,
Mwezi na nyota ulizoziratibisha;
4 Ayu 7:17-18;Zab 144:3;Ebr 2:6-8Mtu ni kitu gani hata umkumbuke,
Na binadamu hata umwangalie?
5 Umemfanya mdogo kuliko Mungu;
Umemvika taji la utukufu na heshima;