Uwezo wa Mungu na haki yake
Kwa mwimbishaji: kwa kufuata mtindo wa Muth-labeni. Zaburi ya Daudi.
1 Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;