9 BWANA atakuwa ngome kwake aliyeonewa,
Naam, ngome kwa nyakati za shida.
10 Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe,
Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.
9 BWANA atakuwa ngome kwake aliyeonewa,
Naam, ngome kwa nyakati za shida.
10 Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe,
Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.