Mungu adumuye milele na binadamu apitaye
1 Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu,
Kizazi baada ya kizazi.
2 Ayu 38:4-6;Mit 8:25Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia,
Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
1 Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu,
Kizazi baada ya kizazi.
2 Ayu 38:4-6;Mit 8:25Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia,
Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.