12 Mwa 34:30;Kum 7:7;Mwa 17:8;Ebr 11:9Walipokuwa watu wawezao kuhesabiwa,
Naam, watu wachache na wageni katika nchi,
13 Wakatangatanga toka taifa hadi taifa,
Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine.
14 Mwa 12:17;20:3-7;35:5Hakumwacha mtu awaonee,
Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao.
15 Akisema, Msiwaguse masihi105:15 Au, mtiwa mafuta. wangu,
Wala msiwadhuru nabii zangu.