Shukrani kwa kuponywa maradhi
1 Haleluya.
Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza
Sauti yangu na dua zangu.
2 Kwa maana amenitegea sikio lake,
Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
1 Haleluya.
Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza
Sauti yangu na dua zangu.
2 Kwa maana amenitegea sikio lake,
Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.