28 Kut 15:2;Isa 25:1Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru,
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
29 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
28 Kut 15:2;Isa 25:1Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru,
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
29 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.