47 Nami nitajifurahisha sana kwa maagizo yako,
Ambayo nimeyapenda.
48 Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda,
Nami nitazitafakari amri zako.