11 Kama nikisema, Hakika giza litanifunika,
Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
12 Giza nalo halikufichi kitu,
Bali usiku huangaza kama mchana;
Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
11 Kama nikisema, Hakika giza litanifunika,
Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
12 Giza nalo halikufichi kitu,
Bali usiku huangaza kama mchana;
Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.