17 Mawazo yako ni mazito sana kwangu;
Ee Mungu; nayo ni makuu sana.
18 Kama ningeyahesabu ni mengi kuliko mchanga;
Niamkapo ningali pamoja nawe.
17 Mawazo yako ni mazito sana kwangu;
Ee Mungu; nayo ni makuu sana.
18 Kama ningeyahesabu ni mengi kuliko mchanga;
Niamkapo ningali pamoja nawe.