4 Kut 33:13;Zab 143:8;Mit 8:20Ee BWANA, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako,
5 Uniongoze katika kweli yako,
Na kunifundisha.
Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu,
Nakungoja Wewe mchana kutwa.
4 Kut 33:13;Zab 143:8;Mit 8:20Ee BWANA, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako,
5 Uniongoze katika kweli yako,
Na kunifundisha.
Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu,
Nakungoja Wewe mchana kutwa.