7 Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia,
Unifadhili, unijibu.
8 Uliposema, "Nitafuteni uso wangu,"
Moyo wangu umekuambia,
BWANA, uso wako nitautafuta.
9 Usinifiche uso wako,
Usimkatalie mtumishi wako kwa hasira.
Umekuwa msaada wangu, usinitupe,
Wala usiniache, Ee Mungu wa wokovu wangu.
10 Isa 49:15;Yn 16:32;2 Tim 4:16-18Hata baba yangu na mama yangu wakiniacha,
Bali BWANA atanikaribisha kwake.