28 Zab 11:7Kwa kuwa BWANA hupenda haki,
Wala hawaachi watauwa wake.
Wao hulindwa milele,
Bali mzawa wa wasio haki ataharibiwa.
28 Zab 11:7Kwa kuwa BWANA hupenda haki,
Wala hawaachi watauwa wake.
Wao hulindwa milele,
Bali mzawa wa wasio haki ataharibiwa.