20 Wewe, uliyetuonesha mateso mengi, mabaya,
Utatuhuisha tena.
Utatupandisha juu tena
Kutoka katika vina virefu chini ya nchi.
21 Laiti ungeniongezea ukuu!
Urejee tena na kunifariji moyo.
20 Wewe, uliyetuonesha mateso mengi, mabaya,
Utatuhuisha tena.
Utatupandisha juu tena
Kutoka katika vina virefu chini ya nchi.
21 Laiti ungeniongezea ukuu!
Urejee tena na kunifariji moyo.