Uwezo wa Mungu na haki yake
1 Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
2 Nitafurahi na kukushangilia;
Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.