13 Kum 8:5;Isa 63:15,16;Mal 3:17Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake,
Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.
14 Kwa maana Yeye anatujua umbo letu,
Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
13 Kum 8:5;Isa 63:15,16;Mal 3:17Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake,
Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.
14 Kwa maana Yeye anatujua umbo letu,
Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.