8 Kut 34:6;Hes 14:18;Zab 86:5,15;57:10;Omb 3:22,23;Yn 1:17BWANA ni mwenye fadhili na huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
9 Zab 100:5;Nah 1:7;Mt 5:45;Mdo 14:17BWANA ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake ziko juu ya vyote alivyoumba.145:9 au kazi zake zote.
10 Zab 19:1Ee BWANA, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
11 Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kusena uweza wako.
12 Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.